Wakati watu wanaendelea kuzungumzia uozo wa matokeo ya form4, huku zenj kuna majanga ya shule1 kwa wanafunzi wa adv wanaotarajiwa kufanya mthn may mwaka huu.
Wanafunz hao waliokua waksoma komb ya phs, comp sci na math, waletewa habari iv juzi kua kombi hyo haijulkan mpaka pawepo na somo la chemy.
Cjui ni kweli? Walimu wao wabaki kung'ang'anaa sharubu na wengine kuwaambia at wa add na chemy japo wakpata " F". Wakti uko mwanzo waliwakatalia kuchukua chemy na kuwaambia kua utakua mzgo mkubwa.
Msaada kwa hawa watu jaman wafanyeje kama hili ni kweli kua iyo komb ya pcom haitambulik?