Kweli kabisa the freedom ni mtu asiye na makuu ukipm anakujibu kwa wakati bila maringoUzi mzuri mkuu. Sema tatizo la hackers wa tz ni wanajisikia na wanaringa + uchoyoo ndo maana hatuendelei. Wenzetu wanaushirikiano kutufunza hata sisi angalau hata ka programming hata intro tu.. ila sisi ndo roho ya korosho sana
Hao uliowatag rootadmin na Thefreedom nawakubali sana hasa huyu jamaa anajiita Thefreedom mshikaji peace saana hajisikiiii, sio mchoyo na hivi ndo tunatakiwa kuwa.
Pamoja we can chalii zangu. Tusaidiane bana ambao tunahitaji hata mwanga wa haya mambo
Hacking ni career yako ?
yaap.. Bahati uzuri kila kitu kipo online tena free ushindwe ww tu..Uzi mzuri mkuu. Sema tatizo la hackers wa tz ni wanajisikia na wanaringa + uchoyoo ndo maana hatuendelei. Wenzetu wanaushirikiano kutufunza hata sisi angalau hata ka programming hata intro tu.. ila sisi ndo roho ya korosho sana
Hao uliowatag rootadmin na Thefreedom nawakubali sana hasa huyu jamaa anajiita Thefreedom mshikaji peace saana hajisikiiii, sio mchoyo na hivi ndo tunatakiwa kuwa.
Pamoja we can chalii zangu. Tusaidiane bana ambao tunahitaji hata mwanga wa haya mambo
yah ni kweli kabisaa..
lakini tukumbuke Cyber security kama sekta, haiko kwaajili ya kila mtu maana sekta zipo nyingi Duniani kuna wanaopenda siasa,Biashara wengine kam mm tunapenda mambo za techology hasa section hii ya Ulinzi.
Ambiele Kiviele
Hvi kujua language nying km kingereza, kifaransa, kiswahili au hapo sjaelewa mwambaKama unataka ku hack webite iliyo tengenezwa na PHP sihitaji kujua hayo yote, naweza tumia hiyo hiyo php kufanya tafrani ... japo kujua language nyingi inampa mtu fursa ya kufanya mambo mengi ila sio kumfanya kuwa hacker mzuri, kujua language na ku hack vitu viwilo tofauti
Bro hv unaweza kuhack wasap ukaona mambo anayofany target wako?Mtu anae taka labda kuingia au ku clack OS, some App flani flani, ina mlazimu awe anajua vitu kama, IA-32 CPU Architecture, stack frames, heaps, exceptions, ImmunityDBG, Ring3 Windows Internal Structures... etc etc... issue muhimu ni kujua unatala kudodondosha nini
Duh!! Hapa napagawa tu v2 nataman kujua kakaNa kama unataka ku dondosha Android, maana yake ni lazima ujue mazingira mazima ya android, pamoja na examine, build, debug and run applications... hapa IDE inahusika kidogo ujue, pia ujue namna ambavyo android studio ina compiles code and resources into a working android application
Yeah inawezekana japo mm sio hacker Kuna mwana tu alinipa mau janja.Bro hv unaweza kuhack wasap ukaona mambo anayofany target wako?