mwangukule
Senior Member
- Aug 15, 2013
- 131
- 7
Nani kakuambia imebadirika? unadhani ni somo la computer lile?
wala co gumu watu ndio wagumu
maana yake nn maswali hayo yapo ili mtu atumie ubongo wake kufikiria sa ww na visolution vyako mbuzi unataka watu wameze
Physics ya siku hizi imebadilika bro.. Calculations chache, Conceptual questions ni nyingi.. Jaribu kulifikiria na hilo..
Nani kakuambia imebadirika? unadhani ni somo la computer lile?
1. Imebadilika.. Sio imebadirika.. Sawa?
2. Wewe unajua hata syllabus ya physics jinsi ilivyo?
maana yake nn maswali hayo yapo ili mtu atumie ubongo wake kufikiria sa ww na visolution vyako mbuzi unataka watu wameze