M MMOJA JF-Expert Member Joined Aug 30, 2012 Posts 445 Reaction score 259 Nov 7, 2012 #1 mwenye update yoyote kuhusiana na oral interview ya tarehe 30.10.2012 pale advans bank-manzese branch kwenye position za teller/client assistant,kwa kua nimeona wametangaza nafasi za kazi tena kuhusiana na hizo position
mwenye update yoyote kuhusiana na oral interview ya tarehe 30.10.2012 pale advans bank-manzese branch kwenye position za teller/client assistant,kwa kua nimeona wametangaza nafasi za kazi tena kuhusiana na hizo position
B Boniface m Member Joined Nov 29, 2011 Posts 54 Reaction score 10 Nov 8, 2012 #2 Tuambie bac zikowap tuapply
M MMOJA JF-Expert Member Joined Aug 30, 2012 Posts 445 Reaction score 259 Nov 8, 2012 Thread starter #3 Boniface m said: Tuambie bac zikowap tuapply Click to expand... Zipo zoom na mwisho ni leo,fanya fasta
Boniface m said: Tuambie bac zikowap tuapply Click to expand... Zipo zoom na mwisho ni leo,fanya fasta
Nyaubwii JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 229 Reaction score 55 Nov 8, 2012 #4 Mbona watu washaanza kazi hapo muda tu.