hao advans ni wahuni. kuna ka-dada flani pale ni hr, simwelewi kabisa. mwaka jana nilifanya interview ya market assistant; tulikuwa watu 5. wanaume watatu na wanawake wawili kwa nafasi 2. tuliitwa interview watu nane tukaja watano. wale washkaj tukapeana no za cm, then wk inayofuata wakanipigia nije kwenye oral. nikawasiliana na washkaji wote wakawa wametoswa. nikaja kwenye oral. alikuwa huyo sister na mzungu flani. issue ilikuwa kawaida tu, ukizingatia nimefanya kazi benk moja hivi, pia nimesoma sana marketing of goods na ya service pia. mzungu akanikubali sana. nikaambiwa niandike salary. nikaandika then wakadai tutajulishana. ilikuwa dec mwanzoni, nikawapigia after 3wks, wakadai wazungu wako holiday ya xmass. then ikawa story mpaka feb. akadai hajapewa mandate ya kuajiri. Then juzi nikaona nafasi hiyohiyo inatangazwa, na nyingine za umeneja wa tawi nk. nikampigia akadai ataniweka kwenye shortlist eti anazo details zangu. nikaaply pia ya meneja wa tawi. nashangaa hawajaniita. Hao watu ni wahuni, manake wangekuwa "equal oppty employer" kama wanavyodai, wasingenitosa kwenye interview, au wangenichukua mimi na yule msichana. kuna mtu nilimuuliza akadai waliajiri hao wasichana na mmoja kaacha job ndo wanatangaza. so kwa kujaribu siyo mbaya, ila nimekataa tamaa nao, ukizingatia nilikuwa natoka dodoma kuja interview, tena zote mbili, huku nimejitoa mhanga job.