Advans Bank

Advans Bank

Nicko

Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
24
Reaction score
2
Habari wana Jamii forum.
Hawa jamaa wa advans bank wametangaza nafasi ya finance assistant na wamesema watu waaply online kupitia address ifuatayo http://recruit.advanstanzania.com ..sasa nauliza ni nani ameweza kuaply kupitia hiyo address Maana mi kila nikifungua hiyo website inakataa kufunguka na deadline ni tarehe 18/10/2012
 
Back
Top Bottom