aclassicBoy
Member
- Jun 9, 2022
- 6
- 4
ungejaribu kuweka mawasiliano yako ili rahisi kukupata.Habari za muda na wakati huu.
Npo hapa kutafuta mdhamini/Wadhamini (Sponsor(s)) wa Safari ya Kupanda mlima Kilimanjaro.
Atakayekuwa tayari kwa udhamini huo. Ntaitangaza Brand au Biashara ya kwa kupiga nayo picha mwanzo wa Safari mpaka Ntakapofika Uhuru Peak. Picha hizo atazitumia kupost katika Social Media zake.
Karibu tuyajenge PM,
Muwe na wakati mwema.
Kwa kuepusha usumbufu usio wa Lazima nmeonelea Bora kupokea message Inbox.ungejaribu kuweka mawasiliano yako ili rahisi kukupata.
Sababu ni kuwa Siyo kila mtu ana muda wa kuchukuwa bidhaa yake na kwenda nayo. So nmejitokeza kumuwakilisha asiye na muda au uwezo huo.Wewe ni brand? Kama sio, kwanini mm mdhamini nisipande na bidhaa yangu nikapiga nayo picha?? Weka maelezo tukuelewe mkuu