wakusepa
Member
- Jan 24, 2013
- 83
- 5
jamani nimehtimu kidato cha 4 mwaka 2007 na nika awarded na div two.baada ya hapo nilienda advance kusoma.HGL nikawa awarded div 3 point 15,
sikuomba chuo kwa kuogopa kusoma ualimu,kwasbb nilijua ntapata ualim.lengo langu sikupenda kuw mwalim bal kuw mwanasheria au daktar msaidiz. Hvyo nahtaj kwenda chuo cha serikali ngaz ya diploma nikasome ila isiwe diploma ya ualimu.
Hvyo naomben mnishaur mliotangulia kwan nataman kwenda private lakn wazee hawana uwezo,hvyo mnishaur niende diploma yoyote ila isiwe ualim ni hayo tu na gharam zinazonimudu.. Ahsanten