naombeni jamani msaada wa kimazo nina PH C,B ya CHEM na D ya BIOS PIA MATH B NA ENG D.NIMEOMBA KUSOMA DIPLOMA YA CLINICAL OFFICER NAWEZA KUPATA JAMANI NAOMBENI MSAADA
Jamani naombeni msaada nina c ya ph,b ya chem na d ya bios pia b ya math na d ya eng,nimeomba kusoma diploma ya clinical officer naweza kuchaguliwa jamani na wizara ya afya au ndio niombe vyuo vya private?
Ni kubahatisha watu wanaacha wakiwa na AAA za PCB hyo ni kulingana na taarifa ya mwaka jana tulipokuwa tumeomba. Isitoshe hujatimiza sifa,wanasema kwa CO yaan Diploma uwe na CCC flat za PCB sasa wewe una D ndani yake. #LABDA