Mim nilikuwa na wazo la kutengeneza website/system ambayo serikal itakuwa inaitumia kutoa information zote za mambo yanayohusiana na upimaji wa ardhi/viwanja kwa nchi nzima kwa mfano morogoro eneo la sangasanga upimaji wa viwanja unaanza tarehe fulan n.k pia na mikon mingine hivyo hivyo ili mradi wananchi wanao taka viwanja wapate kujua. Kwanza mnaonaje hii idea ni useful