Advocate Saimon Patrick ateuliwa FIFA

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Mkurugenzi wa Sheria wa Timu ya Yanga Adv. Saimon Patrick ateuliwa Baraza Kuu la FIFA kuwa miongoni mwa Jopo la Wanasheria 21 kutoka Mabara yote yenye Wanachama wa FIFA.

Majukumu yao yakiwa ni kuisaidia FIFA kushughulikia masuala mbalimbali ya kisheria kwa Wachezaji kwa kipindi cha miaka mitatu ambapo majukumu hayo yatakoma mwaka 2026.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…