AE, ME, IE, PA nini maana ya haya maneno katika TENDER NUMBER

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habari wadau

Mm ni mwajiriwa nafanya tender lakini mara kadhaa nimekutana na hayo maneno katika TENDER number lakini nimejaribu kugoogle nimeshindwa kupta abbreviations zake kwa anayejua maana zake naomba anielimishe ili kuongeza ufanisi wa kazi.

mfano ukiona tender imeandikwa ICB means international competitive bidding jua hii ni yaa kimataifa na kampuni mpaka nje ya nchi zitashiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…