special agent
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 325
- 74
Wana JF Naomba kuuliza Je? Kuna ukweli wowote kuhusu kifaha tajwa hapo juu? Coz nimesikia kuwa kinapima magonjwa yote ya binadamu kwa kutumia sensor yaani mtu anakishika na majibu yanasoma kwenye computer. Sasa nataka kujua kutoka kwa wenye ufahamu je hii kitu ni kweli? Proffessionals karibuni tusikie kutoka kwenu,........................?