Aende chuo na kozi gani kati ya hizi?

Aende chuo na kozi gani kati ya hizi?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari za leo wakuu,
Nina ndugu yangu kachaguliwa kama ifuatavyo.

1. IFM - Bachelor of Accounting

2. TIA - Bachelor of Accountancy

3. ARDHI - Bachelor of Science in Accounting and Finance

Je, aende chuo na kozi gani kati hivi.
 
Kama mchaga aende TIA,

Kama ni wa slay queen au bishow/tozz aende IFM

Na kama anataka elimu bora na very competative katika coarse yake aende ARDHI
 
Kama mchaga aende TIA,

Kama ni wa slay queen au bishow/tozz aende IFM

Na kama anataka elimu bora na very competative katika coarse yake aende ARDHI
😁😁😁😁😁😁😁😁
Hahahaaa kwanini mchaga TIA sasa.
 
Kama yupo timamu upstairs aende Ardhi,kama yupo timamu hardware endee IFM kama yupo timamu software aendee TIA
 
Hii selection ya ardhi ameionaje mkuu?,nimejaribu kuaccess akaunti kuangalia selection ila haifunguki.
 
Aende tu TIA apigwe spoonfeeding na marks za bure. Siku hizi wanaangalia ufaulu sio chuo ulichosoma!
 
jaman eti kwa walio apply chuo kimoja mfano TIA tunaweza pataje majib yetu ama watatoa kweny pdf TIA apo apo
 
Back
Top Bottom