Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kwanini mkuuAende tu IFM
Kwanini mkuu,Aende ARDHI
Na vipi kuhusu hiyo ARDHI mkuuaende TIA chuo kizur sna
Kama mchaga aende TIA,Habari za leo wakuu,
Nina ndugu yangu kachaguliwa kama ifuatavyo.
1. IFM - Bachelor of Accounting
2. TIA - Bachelor of Accountancy
3. ARDHI - Bachelor of Science in Accounting and Finance
Je, aende chuo na kozi gani kati hivi.
😁😁😁😁😁😁😁😁Kama mchaga aende TIA,
Kama ni wa slay queen au bishow/tozz aende IFM
Na kama anataka elimu bora na very competative katika coarse yake aende ARDHI
Wametoa PDF kabisa mkuuHii selection ya ardhi ameionaje mkuu?,nimejaribu kuaccess akaunti kuangalia selection ila haifunguki.
Eti eee, mkuu kama nakupata.Aende tu TIA apigwe spoonfeeding na marks za bure. Siku hizi wanaangalia ufaulu sio chuo ulichosoma!
spoonfeeding ndio nini mkuuAende tu TIA apigwe spoonfeeding na marks za bure. Siku hizi wanaangalia ufaulu sio chuo ulichosoma!
Wanasema wanatoa leo lkn sijui mudaHii selection ya ardhi ameionaje mkuu?,nimejaribu kuaccess akaunti kuangalia selection ila haifunguki.
Mbona wameshatoa tayari yapo kwenye PDF mbili.Wanasema wanatoa leo lkn sijui muda
TIA bado hawajatoa watatoa kwenye Account yako.jaman eti kwa walio apply chuo kimoja mfano TIA tunaweza pataje majib yetu ama watatoa kweny pdf TIA apo apo
nashukuru kwa taarifaTIA bado hawajatoa watatoa kwenye Account yako.