Aende hospital gani Kati ya Muhimbili na Aga khani?

Aende hospital gani Kati ya Muhimbili na Aga khani?

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,839
Reaction score
1,902
wadau wa Afya Heshima kwenu!

Nina Ndugu yangu anasumbuliwa na Nimonia kali!

Kiasi kwamba Upumuaji wake ni wa shida sanaa na Tatizo ka Muda Mrefu!

Je, aende hospital gani Nzuri kati ya Muhimbili na Aga Khani?
 
Wahini hospital, si ajabu anahitaji oxygen katika safari yake ya tiba.
 
Back
Top Bottom