I ikigijo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 1,839 Reaction score 1,902 Jan 23, 2024 #1 wadau wa Afya Heshima kwenu! Nina Ndugu yangu anasumbuliwa na Nimonia kali! Kiasi kwamba Upumuaji wake ni wa shida sanaa na Tatizo ka Muda Mrefu! Je, aende hospital gani Nzuri kati ya Muhimbili na Aga Khani?
wadau wa Afya Heshima kwenu! Nina Ndugu yangu anasumbuliwa na Nimonia kali! Kiasi kwamba Upumuaji wake ni wa shida sanaa na Tatizo ka Muda Mrefu! Je, aende hospital gani Nzuri kati ya Muhimbili na Aga Khani?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jan 23, 2024 #2 Wahini hospital, si ajabu anahitaji oxygen katika safari yake ya tiba.
I ikigijo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 1,839 Reaction score 1,902 Jan 23, 2024 Thread starter #3 Sky Eclat said: Wahini hospital, si ajabu anahitaji oxygen katika safari yake ya tiba. Click to expand... Ni Kweli wapi sasa Aga khan au Muhimbili?
Sky Eclat said: Wahini hospital, si ajabu anahitaji oxygen katika safari yake ya tiba. Click to expand... Ni Kweli wapi sasa Aga khan au Muhimbili?
I ikigijo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 1,839 Reaction score 1,902 Jan 24, 2024 Thread starter #4 Sky Eclat said: Wahini hospital, si ajabu anahitaji oxygen katika safari yake ya tiba. Click to expand... Ameshaaga Dunia aisee tatizo shida kwenye Kupumua! Aga Khan! Labda ilipangwa awe pale!
Sky Eclat said: Wahini hospital, si ajabu anahitaji oxygen katika safari yake ya tiba. Click to expand... Ameshaaga Dunia aisee tatizo shida kwenye Kupumua! Aga Khan! Labda ilipangwa awe pale!
singanojr JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 1,974 Reaction score 10,361 Jan 24, 2024 #5 ikigijo said: Ni Kweli wapi sasa Aga khan au Muhimbili? Click to expand... Agakhan nenda pale hakuna userikali Huduma safi na ya haraka
ikigijo said: Ni Kweli wapi sasa Aga khan au Muhimbili? Click to expand... Agakhan nenda pale hakuna userikali Huduma safi na ya haraka