MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 707
Ninatafuta aerial maps za Kata ya Kimbiji, hususan zile zinazoonesha kijiji/mtaa wa Kizito Huonjwa. Nafahamu Wizara ya Ardhi ina aerial maps za Tanzania yote. Je, wapi ninaweza kupata za Kimbiji?
Asante.
P.S. Mwenye maelezo anitafute moja kwa moja. +255-786-019019
Asante.
P.S. Mwenye maelezo anitafute moja kwa moja. +255-786-019019