Aerial View of Morogoro Town, 200km West of Dar

watu 350,000 ni mji mdogo sana. Hii Sgr mumetupa tu pesa.
 
watu 350,000 ni mji mdogo sana. Hii Sgr mumetupa tu pesa.

Do u think 350K ni Kidogo??
Fyi Morogoro town is by Far More populated than Nakuru or even Kisumu.
 
Wapogolo na Waluguru wameshindwa kuboresha Moro, huo mji nimeishi na una potential sana maana magari yote yanayokwenda kwenye mataifa kadhaa majirani wa Tz hupitia kwenye huo mji, pia hata magari ya kwenda mikoani.
Lakini mji wenyewe haukui, kila nikirudi hata baada ya miaka mingapi, huwa nakuta hali ni ile ile nilivyoiacha.
 

Mara ya Mwisho umeenda lini?
 
Huijui Morogoro wewe
Labda ya mwaka 90
 
Do u think 350K ni Kidogo??
Fyi Morogoro town is by Far More populated than Nakuru or even Kisumu.
Ndogo sana. Miji kama Naivasha, Kericho wakaazi wapo btw 350-500k. Miji kama Nakuru, Kisumu na Eldoret wakaazi wanapita milioni moja kaka.. Na ndio sababu zinaitwa cities (Nakuru na Eldoret are soon being elevated to cities).
 
Nakuru ina watu zaidi ya 500,000 na hio ni ya nne kwa ukubwa Kenya. Hapana cheza na Kenya sisi tuko very urbanised hatuishi ushago kama nyinyi.
80% Kenyans live in rural areas, 70% Tanzanians live in rural, weka taarifa zako sawasawa.
 
80% Kenyans live in rural areas, 70% Tanzanians live in rural, weka taarifa zako sawasawa.
Urban population as a share of total population
26.6 (%) in 2017
EXPORT TO PDF
VIEW RANKING › ›
The description is composed by our digital data assistant. In 2017, urban population for Kenya was 26.6 %. Urban population of Kenya increased from 9.5 % in 1968 to 26.6 % in 2017 growing at an average annual rate of 2.12 %.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…