Aerial View of Morogoro Town, 200km West of Dar

Vumbi na tope kwa kenya huanzia Nairobi [emoji2][emoji2]
60% of Nairobi Population lives in 40% Nairobi City. Kibera.
Nikiangalia Moro kwa Wikipedia picha ya kwanza inaonyesha mji wa mabati (brown rusted roofs) hapo kwa city center .Pia vumbi ,matope na vibanda tele pale.
 
Nikiangalia Moro kwa Wikipedia picha ya kwanza inaonyesha mji wa mabati (brown rusted roofs) hapo kwa city center .Pia vumbi ,matope na vibanda tele pale.
Kweki bro
40% wapo kibela
 
Nakuru ina watu zaidi ya 500,000 na hio ni ya nne kwa ukubwa Kenya. Hapana cheza na Kenya sisi tuko very urbanised hatuishi ushago kama nyinyi.

Unless unasemea county nzima,
If so Morogoro nzima ina wakazi milioni 2.2,
Nakuru mjini pana wakazi 280K,
Weka taarifa zako sahihi.
 
Nikiangalia Moro kwa Wikipedia picha ya kwanza inaonyesha mji wa mabati (brown rusted roofs) hapo kwa city center .Pia vumbi ,matope na vibanda tele pale.

Angalia hiyo Video.
 
Mimi ni mkenya lakini Moro imechapa kenya hands down
 
Kulikaribia tu achilia mbali kulifikia jiji la chattle aiseeee mjipange.
 
Do u think 350K ni Kidogo??
Fyi Morogoro town is by Far More populated than Nakuru or even Kisumu.
From Dar mwendo na population ni small, smaller smallest sio Kama Kenya big bigger biggest tunamalizia na big big big bigger. Ndio sababu SGR Kenya ni viable....mzigo wenu mkubwa unashukia Dar ilhali Kenya ni Mombasa, Nairobi, Nakuru, Eldoret, Kisumu afu Uganda 😏😏😏
 
Huijui Morogoro wewe
Labda ya mwaka 90
Morogoro bado ni ile ya miaka ya 50s
80% Kenyans live in rural areas, 70% Tanzanians live in rural, weka taarifa zako sawasawa.
Tuliza nyegeze Dar yenyewe haina barabara Kama za Mombasa na Kisumu...onyesha Nyang'aus interchange za Dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo inapita tu, hiyo inaelekea Dodoma, Mwanza hadi Kigali
Interchange tafadhali bongolala 😭
Labda tunatofautiana,lakini kwa mandhari ya msanvu kama pamebadilika sana.
Bado Moro ni 50s
Huijui Morogoro wewe
Labda ya mwaka 90
Ya mwaka wa 50 according to Kenyan Standards.
Did you Know Morogoro before I shared?
Now you wish to Visit Morogoro, Don’t you?
Dar mpaka Moro Yana Kijiji to Mashambani
 
Tulia wewe ...potential hzo tuachie sisi
Ndy tunazijua na tunawabana Nyie kutoka kenya

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…