Maana yule jamaa alifanya uhuni wa waziwazi mchana kweupeee jaluo ya watu ikawa inalia na kulalamika tuuu...hata IEBC ile siku ya mwisho walikuwa wanazugazuga tu kutangaza matokeo wakenya bwaaana kama nawaona vile wazee wa uhuruto....I wish ije itokee kibongobongo wazee wa chama la kijani dah!!!