Linus Mtei
Member
- Feb 18, 2015
- 27
- 21
Kama endapo ingefungiwa kule ingekuwa shida kuisafirisha kuileta nyumbani
Tumetumia hela nyingi sana katika kuiendeleza timu ya simba, usajili umefanyika tena wa gharama lakin hawa mabwana wameamua kutudhalilisha
Wapi manara mbona sijakusikia jinadi naiyo. This is SIMBA.
Bigwa wa Africa, tunauwezo wa kuifunga timu yoyote " mimi nimenukuu tuu😆😆😆😆😆😆😆