Afadhari walim wametoka lkn tunawaomba watushike mikono wasitusahau wenzao!.

Afadhari walim wametoka lkn tunawaomba watushike mikono wasitusahau wenzao!.

Pawaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1,349
Reaction score
1,011
Habari wakuu wanaJF. Niwapongeze walim wote waliopata vituo vya kazi na niwatakie kazi njema. Nina ombi jaman kabla ya kwenda huko mlikopangiwa mtushike mkono na mtupeleke pale mlipokuwa mnafanya internship au temporary job ili nasi tupate sehem ya kujikeep busy na uzoefu tunapohangaika na michongo mingine,.jamani mi nipo tayari popote kwa chance yoyote ile. Asanteni sana
 
Hiyo kweli,mtusaidie hata sisi tuliokosa mikopo mwaka jana,angalau tupate pa kujishikiza kwa muda ili tuombe tena mwaka huu.
 
Back
Top Bottom