mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Kesi ya jinai iliyofunguliwa na wakili Paul Kisabo dhidi ya afisa wa polisi ASP. Fatma Kigondo anayetajwa kama "afande Kesi ya jinai ilifunguliwa na Wakilin Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa polisi, ASPNFatma Kigondo anayetajwa kama "afande" inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa mbele ya hakimu Francis Kishenvi. afisa huyo ameshtakiwa kwa kosa la kuwezesha genge la watu takribani watano waliomfanyia ukatili wa kingono ikiwemo ubakaji wa kikundi (gang rape) na ulawiti msichana wa Yombo dovya ambaye jina lake limehifadhiwa kwa usalama wake zaidi. hivyo kesi hiyo inatarajiwa kuanza kuunguruma siku yoyote
2
2