mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 428
SanaaaIla watu ni wafukunyuku
Kesi haihusiani na hilo.Ubakaji wa kundi na ulawiti.Udhalilishaji na kipigo.Mme atoke akane hajatembea na bi dada
Kwani ufahamu kuna kosa la kula njama?Huyo Afande akiponyoka basi mawakili watakuwa wana refer hii case kwamba unaweza ukamtuma mtu na wewe usihusike kwenye case.
Kukana mashitaka hakufanani wala hakuondoi ukweli kuhusu kutenda makosa.Kesi gani tena huku wale vijana wamekana mashitaka ?