Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
uliweka picha zao hapa ili uzikashifu? kama kweli una msaada kwao unapaswa uwaelimishe, na sio kutoa unabii wa mwisho wa 20% utakavyokuwaKwa kweli mie niwe mkweli tu BAngi ni mbaya sana huyu jamaa 20% kashunda tunzo 5 za TKMA 2011 lakini I am sure he will be no where than where Afande Sele is, picha zinajieleza..
Mmmmh huyu 20% ndo kawaje hivyo sasa??? Au naye msuba unafanya kazi??
wabongo bwana!ukiwa na swagga flani unaitwa sharobaro,ukiwa kawaida wanatimba!!!tuache habari za kujadili muonekano wa hawa jamaa bali ujumbe gani wanafikisha katika jamii.taka usitake hivyo vichwa viwili kwa tungo zenye ujumbe hapa bongo hamna wa kuwafananisha nao.......
Nashindwa kuelewa mpaka sasa hivi ni vigezo gani vinatumika kumpata mshindi wa Kili music award!