Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Afande Sele amesema hamjui msanii anayitwa wakazi kwa sura wala hajawahi kusikia nyimbo yake, ni baada ya wakazi kumkosoa kuhusu kauli aliyoitoa juu ya Vanessa Mdee, amesema amewahi kuwa group moja la whatsapp la wasanii amabapo ndipo aliona hilo jina la jamaa ambaye alikuwa akijifanya kama kiranja kwenye hilo group na ndiye aliyesababisha hadi aka left hilo group.