Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Hana lolote Mpuuzi tu ,anadhani kujua kingereza ndio kujua kila mituWakazi ni very smart upstairs...mtu kama afande sele aliesalula jukwaani hawezi mwelewa wakazi.
Kwa muziki gani??Wakazi ni very smart upstairs...mtu kama afande sele aliesalula jukwaani hawezi mwelewa wakazi.
Sijawahi sikia nyimbo yake!..hebu iweke mkuuWakazi ni very smart upstairs...mtu kama afande sele aliesalula jukwaani hawezi mwelewa wakazi.
Usimfananishe Afande na Wakazi! Hata kwa Kiswahili Wakazi yupo smartHana lolote Mpuuzi tu ,anadhani kujua kingereza ndio kujua kila mitu
wakazi ndio nani hata hvyo.
sio ngeli tu the guy is smart upstairs....go dig abt him...ni realest MCEE...We got few mcee in tz, he is one of them. huwezi mwelewa kama umetekwa na bongo flava nyepesi....wenzake ni kama one incredible, nash mC, zaiid, p the mc, fid q...Hana lolote Mpuuzi tu ,anadhani kujua kingereza ndio kujua kila mitu
one among the realest MCEE bongo...mara nyingi watu kama hawa hua hawafahamiki sana as wanaimba conscious....mchek humo....