elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Singeli sio hip hop sio lazima u commentWakazi panya tu,afande atabaki afande tu
Nimekuelewa mkuuWakazi ni very smart upstairs...mtu kama afande sele aliesalula jukwaani hawezi mwelewa wakazi.
me wakaz nalijua jina tu ila mzik wak noSijawahi sikia nyimbo yake!..hebu iweke mkuu
Na wewe acha ushamba na mahaba ya kijinga,kwani kujua kiingereza ndio kuwa msanii?huwezi kumfananisha wakazi ambae hana hata wimbo mmoja wa kujulikana na afande sele,labda kama umeanza kusikiliza muziki leo,,Usimfananishe Afande na Wakazi! Hata kwa Kiswahili Wakazi yupo smart
Mkuu wakazi sio msanii na wala he can't be a realest MCEE, hafahamiki na hata underground hayupo,hana nyimboone among the realest MCEE bongo...mara nyingi watu kama hawa hua hawafahamiki sana as wanaimba conscious....mchek humo....
Wewe ndio hujui hip hop,,Singeli sio hip hop sio lazima u comment
Huyu wakazi asijifananishe kabisa na king selemanUsimfananishe Afande na Wakazi! Hata kwa Kiswahili Wakazi yupo smart
Hata mimi simjui wakazi japo mimi huwa nasarura chooniWakazi ni very smart upstairs...mtu kama afande sele aliesalula jukwaani hawezi mwelewa wakazi.
Poa mkuuSingeli sio hip hop sio lazima u comment