Afande Sele amdiss vikali Wakazi

one among the realest MCEE bongo...mara nyingi watu kama hawa hua hawafahamiki sana as wanaimba conscious....mchek humo....





kumbe ndio hiki kinaigiza umarekani bongo??
 
one among the realest MCEE bongo...mara nyingi watu kama hawa hua hawafahamiki sana as wanaimba conscious....mchek humo....






Sasa Haya Matakataka Unaweza Fananisha na Nyimbo Za Afande sele.?

Au we mwenyewe ndio Wakazi unajipa Promo.?

Afande yupo kule Juu Na Akina Prof Jay, Solo Thang, Sugu etc..

Huwezi kufananisha na hao ambao kila mstari mpaka wafananishe na kitu..

Hawana Idea kazi yao Vina Tu..

Ebu angalia Nyimbo Kama Mkuki Moyoni, Hao akina wakazi wanaweza kurap kwa idea.? Zaidi ya kujisifia "Mi mkali kama......Mistari yangu ina nini sijui"....Matakataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…