Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
5,461
Reaction score
4,138
Afande kasema sugu ni mfupi,ana sura mbaya,mweusi,aliachwa na faiza,amepata mtoto uzeeni.

Mpaka kamuhusisha na marehemu mama yake sugu,afande wewe sugu ndo alikutoa kimuziki lakini mwisho wa yote wananchi wa morogoro sio wapumbavu kiasi hicho wakupe ubunge afande sele,hata huyo magu ambaye unajipendekeza kwake hawezi akakupa hata uenyekiti wa mtaa.

Afande sele ndo anayesababisha wavuta bangi tuonekane hatuna akili
 
nilicho jifunza
TUSIWE NA TABIAA YA KUAMINIANA..
Sele na sugu walikuwa
boksa na nyeti now naona wanaparuana...

viongozi wa kisiasa chonde chonde msituparaganyishe na Marafiki zetu coz ya itikadi
Sugu haongeagi kuhusu sele,sele anaona wivu sugu ana hela,sele anatabia za kike,anasema eti sugu ana sura mbaya,mfupi,amepata mtoto uzeeni,sasa si tabia za kike hizi za kina mwajuma kule vingunguti
 
Sugu haongeagi kuhusu sele,sele anaona wivu sugu ana hela,sele anatabia za kike,anasema eti sugu ana sura mbaya,mfupi,amepata mtoto uzeeni,sasa si tabia za kike hizi za kina mwajuma kule vingunguti
Hahaha nimecheka sana
Afu wote sura zile zile anakaa anamuita mwenzie vibaya
Ila jamaa kweli ana mambo ya kike
 
Afande kasema sugu ni mfupi,ana sura mbaya,mweusi,aliachwa na faiza,amepata mtoto uzeeni,mpaka kamuhusisha na marehemu mama yake sugu,afande wewe sugu ndo alikutoa kimuziki lakini mwisho wa yote wananchi wa morogoro sio wapumbavu kiasi hicho wakupe ubunge afande sele,hata huyo magu ambaye unajipendekeza kwake hawezi akakupa hata uenyekiti wa mtaa,
Afande sele ndo anayesababisha wavuta bangi tuonekane hatuna akili

[ ATTACH=full]859365[/ATTACH]View attachment 859366View attachment 859367
Sele choko sana.Hali tete mpak alikuwa anavaa boxer za sugu,nw anamnyea mchizi.wahuni sio watu.
 
Back
Top Bottom