Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Aiseelakini amesema ukweli au uongo? kipi cha uongo hapo?
Sio utoto ni upumbavu,alafu ni jitu zima lina watoto kabisaIla ni kweli sugu ni mfupi
Hayo mengine sio maneno mazuri afande sele aache utoto
Yani inasikitisha sana mkuu.Sio utoto ni upumbavu,alafu ni jitu zima lina watoto kabisa
Sugu haongeagi kuhusu sele,sele anaona wivu sugu ana hela,sele anatabia za kike,anasema eti sugu ana sura mbaya,mfupi,amepata mtoto uzeeni,sasa si tabia za kike hizi za kina mwajuma kule vingungutinilicho jifunza
TUSIWE NA TABIAA YA KUAMINIANA..
Sele na sugu walikuwa
boksa na nyeti now naona wanaparuana...
viongozi wa kisiasa chonde chonde msituparaganyishe na Marafiki zetu coz ya itikadi
Sio bangi kuna watu wanavuta bangi na wana behave vizuri,sele ni akili yake tu haichaji vizuri,mtafute insta uone hayo matusiMm siamini afande sale anaweza andika hivyo,na kama ni kweli,basi bangi ina madhara makubwa sana
Tena ametuzidiSugu haongeagi kuhusu sele,sele anaona wivu sugu ana hela,sele anatabia za kike,anasema eti sugu ana sura mbaya,mfupi,amepata mtoto uzeeni,sasa si tabia za kike hizi za kina mwajuma kule vingunguti
Hahaha nimecheka sanaSugu haongeagi kuhusu sele,sele anaona wivu sugu ana hela,sele anatabia za kike,anasema eti sugu ana sura mbaya,mfupi,amepata mtoto uzeeni,sasa si tabia za kike hizi za kina mwajuma kule vingunguti
Halafu anajiita rasta anaiaibisha imani ya marastafariTena ametuzidi
Sele choko sana.Hali tete mpak alikuwa anavaa boxer za sugu,nw anamnyea mchizi.wahuni sio watu.Afande kasema sugu ni mfupi,ana sura mbaya,mweusi,aliachwa na faiza,amepata mtoto uzeeni,mpaka kamuhusisha na marehemu mama yake sugu,afande wewe sugu ndo alikutoa kimuziki lakini mwisho wa yote wananchi wa morogoro sio wapumbavu kiasi hicho wakupe ubunge afande sele,hata huyo magu ambaye unajipendekeza kwake hawezi akakupa hata uenyekiti wa mtaa,
Afande sele ndo anayesababisha wavuta bangi tuonekane hatuna akili
[ ATTACH=full]859365[/ATTACH]View attachment 859366View attachment 859367
Hivi ufupi/urefu unajichagulia! Watu wanakufuru kwa kukosoa uumbaji!Ila ni kweli sugu ni mfupi
Hayo mengine sio maneno mazuri afande sele aache utoto
Wanavyokutana sele aliomba na kutia huruma sana kwa sugu,sugu akamsaidia kipindi hicho sele kafukuzwa jeshi,aisee shukran ya punda matekeSele choko sana.Hali tete mpak alikuwa anavaa boxer za sugu,nw anamnyea mchizi.wahuni sio watu.
Umetawaliwa na Roho mbaya kama Boss (u know him) kwa upofu wako unaamini hayo aliyosema Seleman Msindi ni ya kweli kwa kiasi gani %ge wise? Acha mahaba kwa mwanaume mwenzio that much mkuu!lakini amesema ukweli au uongo? kipi cha uongo hapo?