Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Hapa naomba tukubaliane hakuna uhusiano wa bangi na huo upuuzi wa Sele ingekua bangi ina matatizo ofisi nyingi zingekua full vurumai ila tunavuta na mnakuja kwenye ofisi zetu tunawapa huduma fresh tu hata wizarani kungekua tafrani pia.
Sele ana sonono,usiombe uwe maarafu alafu ushuke bila kutegemea lazima uvurugike mbaya zaidi unaona watoto wadogo wa nyimbo 3 tu wana cruise kwenye ndinga na wana maisha mazuri acheni tu Sele apate kichaa.
 
Anazingua sana
 
Ooooh ok
Sasa hapo ufanano wa faiza na sugu moto chin uko wapi? Sema faiza na sele akili yao moja tena walitakiwa wawe mume na mke coz wote wana mipasho!
Ndicho nilichokisema
 
Ooooh ok
Sasa hapo ufanano wa faiza na sugu moto chin uko wapi? Sema faiza na sele akili yao moja tena walitakiwa wawe mume na mke coz wote wana mipasho!
Sugu amejifunza nadhani kuwa kahaba haoelewi
 
Anafikiri akimtukana sugu fisiem watampa ulaji
Watampa mana ndiko tulikofikia ,watu wanye chuki mbaya dhidi ya Chadema ndio wanapewa Nafasi na kwa upande wa Chadema vivyo hivyo. Ukitaka uitwe kamanda lazima uwe na chuki mbaya dhidi ya mtu wa chama kingine hasa CCM na CU F ya Lipumba.
Ndipo tulipofikishwa sasa.
Sio CCM sio chadema.

Chanzo cha yote ni kukosa viongozi makini wa kisiasa.

Hata hivyo hayo matusi ni masuala ya kijinai.
Apeleke Polisi na kama hakuna hatua zitakazochukuliwa nchi yetu ina viongozi wa dini tuwaambie ,tuwambie jinsi watu wanavyopata nafasi za uteuzi kwa kusambaza chuki na kiburi.

Pole sana Kaka yangu Sugu kwa uvumilivu.
 
Kumbe ana kipaji cha taarab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…