Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Afande sele ni looser maisha yamempiga alikua anaishi nyumba ya ukweni tokea mama tunda afariki kapoteza uelekeo kaishia kuwa king'asti, alimsaliti 20% aliyekua akimlisha yeye na familia yake
 
Sugu haongeagi kuhusu sele,sele anaona wivu sugu ana hela,sele anatabia za kike,anasema eti sugu ana sura mbaya,mfupi,amepata mtoto uzeeni,sasa si tabia za kike hizi za kina mwajuma kule vingunguti
Hivi sugu na sele nani ana sura mmbaya eti,,, nahisi Mimi ndo nko tofauti kimtazamo
 
Umetawaliwa na Roho mbaya kama Boss (u know him) kwa upofu wako unaamini hayo aliyosema Seleman Msindi ni ya kweli kwa kiasi gani %ge wise? Acha mahaba kwa mwanaume mwenzio that much mkuu!
Umeniwakilisha vema sana mkuu,,,
 
Mimi siamini kama ni afande sele kaongea hayo,japo namfahamu sele kwa uchache ila roho mbaya anayo. Hata akina Duke Wa tachez ambao wamekuwa nae kwenye industry ya bongo music kwa kipindi flani naamini wanamfahamu fahamu
 
Matusi mazito sana haya huyu kweli anatufanya tunaovuta Bangi tuonekane wahuni
 
Hivi Tunda si atakua kashabalehe nimtafute katakuwa katam kweli kale...kana DNA za Ganja
 
Huu ni udhalilishaji kwa chama cha wavuta bangi....
Tungekuwa na mamlaka kamili huyu jamaa tungeamuru hakuna pusha kumuuzia kijiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…