Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Hhhhh hapo ktk wavuta bangi
 
Natamani siku huku marasita aje mbeya tumbakishe maana ana matusi sana siku hizi.....
 
Ninachojuwa mi kwa selle ni kwa upande wa bb zake tunda wanamuogopa uyo simba zee wanaisi huenda anamkaa mtoto wake uyo anaeitwa tunda..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maugomvi ya wanaume wa mkoani bwana [emoji23][emoji23]
 
Hapa mmoja anamilik hotel ya kimataifa mwingine anamilik bwawa la kambare wa kimataifa..... Wivu ni kidonda
 
Sele ni mpuuzi tu , mchafu kuoga huyo ni wa kumpuuza tu ...........mwenye akili hawezi jibizana na huyu kichwa maji ..........
 
Afande sele ni looser maisha yamempiga alikua anaishi nyumba ya ukweni tokea mama tunda afariki kapoteza uelekeo kaishia kuwa king'asti, alimsaliti 20% aliyekua akimlisha yeye na familia yake
Unaona sasa angesema tu sugu angemsaidia mbona alimsaidia kumtoa kwenye muziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…