Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Siku hizi vichaa wanasema ukweli. Na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Mkuu ni kweli vichaa.. watoto na walevi wanasema ukweli.... kwahiyo msema kweli ni Mpenzi wa Mungu na pepo hii hapa keshaipata.
 
Ila ukweli unaumaga sana sijui kwanini. Ha haaa ila afande sele nae apunguze bange
 
Loosers wengi mara nyingi wako hivyo, hawana shukurani, kila wakati kulalamika na kutafuta mchawi wa udhaifu wao, hana jipya sele mabangi, uraibu umemdhuru
 
lakini amesema ukweli au uongo? kipi cha uongo hapo?
Mtu ambaye anaweza kutenga muda wake kujaridi kimo cha mtu mwingine, si tu anakuwa hana busara bali ni mpumbavu wa kiwango cha lami. Afande sele amekuwa na tabia za kike sana inashangaza alivyoweza kuibadirika ndani ya muda mfupi na kuwa katika kundi moja na akina Gigi money. Sikuwahi kufikiria kuwa itafikia siku afande yule wa mkuki moyoni, darubini kali, heshima, mtazamo anaweza siku moja kuwa katika kundi la akina ambalulu....
 

Kama kweli Afande amemtukana Sugu basi amekosea sana. Ni ujinga, utoto and above all, ni wivu wa kike.
Jamani hatuwezi wote kuwa wabunge. Du.. Afande Sele ndio leo wa kujipendekeza kwa Jiwe?
Anatia aibu 'masela' wenzake...
 
Mkuu sio kwamba umejitungia mwenyewe haya .
Afande sele kayaongea wapi haya .Tuanzie hapo kwanza .
Afu jina lako hilo ni kubwa sana kwa sisi wapenzi wa hiphop .

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Nenda kwenye insatagram ya afande sele au haujaona screenshot hapo
 
hahahaaa afande sele ndio ana sababisha nini ""? aisee Jf bwana hahaaa
 
Mm siamini afande sale anaweza andika hivyo,na kama ni kweli,basi bangi ina madhara makubwa sana
hapana " amesikia kwamba ili upate teuzi Lazima uwe kichaa " so ndio anajichetua ili ateuliwe
 
Yani inasikitisha sana mkuu.
Mwanae sijui anajifunza nini.kamkosea sana sugu
mwanae ajifunze lipi " kwa mvuta bangi ambaye ndiye baba yake '?? na yeye atavutishwa mibangi tu " hakuna jengine
 
dah jamaa latudhalilisha sana wavuta bangi. Tumeonekana watu wa ovyo kabisa
 
Mods kwa nini mmetoa screen shot hapo ambazo ndo ushahidi?
 
Mwambieni huyu selemani msindi aache bange. Ipo siku atavaa chupi kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…