Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Sugu haongeagi kuhusu sele,sele anaona wivu sugu ana hela,sele anatabia za kike,anasema eti sugu ana sura mbaya,mfupi,amepata mtoto uzeeni,sasa si tabia za kike hizi za kina mwajuma kule vingunguti
Kwa nini kila tabia mbaya mnaiita ya Kike?
Wanawake tunanyanyasika sana Africa.
 
Kwa nini kila tabia mbaya mnaiita ya Kike?
Wanawake tunanyanyasika sana Africa.
Sio tusi ndo ukweli,wengi ndo mlivyo kujadili maumbile ya watu pamoja na misemo yenu na maneno ya shombo sijui kajambie mbele mara kajamba nani yaani vurugu tu,naonanaga wamama wanawasema kwamba mtoto wa mama flani ana sura mbaya sijui nini upuuzi tu
 
Hayo mambo ya wanaume.
 
Maneno ya mkosaji!.....ana sura mbaya!!!!?....wanawake hawaangalii sura,utasubiri saana
 
Mwanaume aliekamilika hawezi kumwambia mwanaume mwenzie ana sura mbaya anataka awe na sura nzuri ili iweje
 
Sugu kamzidi Afande sele asilimia 90% na zaidi ya mafanikio labda Afande Sele alichomzidi Sugu in kuwa na watoto wakubwa na wengi kama mwanae Tunda, Sele hayuko sawa anatamani atoke kama hawa wakuu wa wly wanaojiita me mkuu wa mkoa ila sasa Sele shule hamna ndio tabu inaanzia hapo.
 
Hahahaha.....mkuu kwenye mawizara ingekuwa vurugu!!!
.. Hatare sana
 
Kama ni bangi morogoro kuna bangi gani kuzidi Arusha, Ana kula pushabu mzazi ndomana zina mpeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…