Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Kabisa aisee amefanya wala weed woote waonekane kuku tu
 
Mm siamini afande sale anaweza andika hivyo,na kama ni kweli,basi bangi ina madhara makubwa sana
Tena anaweza andika zaidi ya hivyo sasa. Afande watu wamuone tu huku nje ila ana maneno mabaya kuliko kawaida..
 
Kweli anawaharibia wavuta bangi ila bangi yake ndo inamtia mchizi mbona wengine wastaarabu tu na bangi zao
 
Ndomana alichapiwaga mke wake yule (rip)na dj mmoja wa samaki moro....jamaa nlimkuta anatoka makamasi +kuliaa.....jing@ tu

Ova
 
Gongo haijawahi kumuacha mtu salama.
 
Mkuu wewe unapiga ya wapi?
me navuta kijiti cha matombo. Hicho ni hatari sana kuna jamaa alipata ajali ya bodaboda akalazwa muhimbili hana fahamu wiki basi masela wakaenda kumpulizia moshi wa kijiti cha matomba unaambiwa jamaa akapiga chafya madaktari wakaja mBio kusikia jamaa kazinduka. Toka hapo me napiga cha Matombo tu. Na pia kama mtu masikio yakiziba ukivuta cha Matombo halafu ukapiga miayo yanaachia
 
Kama wiki hivi nyuma, sele aliwahi kulalamika kuna dogo huwa anachezea simu yake na anafanya mambo ya kipuuzi mpaka kwa watu anaowaheshimu, Alimtaja jina ila silikumbuki, na watu wengi huwa wanampigia kumuuliza mzee baba vipi tena? anasema pot nyingi huwa anapot huyo dogo na huvuka mipaka mpaka kuwatongoza mpaka mashabiki zake anaowaheshimu....kwa mamtiki hiyo inawezekana si afande aliyeandika
 
Napinga alichokiandika afande instagram kinafanana kabisa 100% na alichokisema kwa mdomo wake na video nnayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…