Naona alivyokutana na Mheshimiwa kajipulizia mipafyumu kichupa chote,kala Big G za kutosha,ila kwa jinsi ninavyojua hii habari itatrend mpaka wiki ijayo,ila yy afande sele akitoa video haitrend hata kwa lisaa limoja youtube,kweli siasa zimeumefunika mziki,katoka NONDO kaja AFANDE SELE bora dogo Diamond alivyoenda Kenya kuzindua album yake ,sijajua baada ya hapa kitafatia kitu gani.