sele namkubali ila sometimes anakosea sana, sasa
anamponda J Makini anategemea nini???????
napata shaka kama ile darubini kali alitunga yeye, kwani kusema
'wachukua tuzo wanavuja kama fistula' ye katafsiri vipi???
kwa tafsiri yangu mi nadhani makini alimaanisha kuna watu wanapewa tuzo
ila hawstahili ndo maana baada ya siku tatu, nne hawako tena kwenye
vyombo vya habari na wameshapoteza mwelekeo, thats it, wacheki akina j4
iddi walopewa hadi gari,wako wapi sasa???????
kiupande flani mnyama leo dizain hivi kachemka ila namkubali
sana