Afande Sele: Awamu ya tano Zitto Alikuwa anapinga kila Kitu, leo yupo Kimya

Zitto anaoma aibu au anaogopa kumgeuka mama, alishamsifia sana mwanzo, sasa hata yeye na chama chake wakitandikwa viboko kule Zanzibar anaangalia tu, kafungwa mdomo vibaya sana kwa kukubali kuwa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa.
 
ANATAFUTA KUWA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI
 
Zitto ni opportunist mzuri - hakuachii nafasi kama kuna upenyo wa madaraka na ngawila... si mvumilivu wa kisiasa hasa wakati wa changamoto.
 
I am not an Afande Sele fan. Not one bit.

Lakini, kuna vikao fulani nilikaa na Zitto awali mwakanhuu nika detect kama ana protectionism kwa huyu rais mpya.

Nikafikiri labda ni katika falsafa nzima ya "give her some time" tu.

Lakini kadiri muda unavyoenda simsikii Zitto.

Amekuwa compromised na mfumo?

Anaji compromise mwenyewe kwa kutaka ukaribu na serikali?

Anasema hatujasikia tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…