Afande Sele: Awamu ya tano Zitto Alikuwa anapinga kila Kitu, leo yupo Kimya

Hiki kiumbe ni cha kuogopwa kama Ukoma,toka yuko CHADEMA ni Mdini,Mnafiki,Ndumilakuwili na Msaliti wa Dunia,I dont know anapata wapi Moral Authority ya kuzungumza kama Kiongozi wa Chama nashangaa kwakweli Watanzania tumelogwa,Huyu angekuwa nchi za watu wanaojielewa Kura ni yake peke yake hata Mkewe hawezi kumpigia.
 
Siasa za matukio Zitto anapotea na CHADEMA vile vile mnapotea big time hamnaga ajenda nyie.....hasa za kiuchumi.

Sasa hivi mpo kwenye katiba mara free Mbowe...
Mmewaziba midomo, mmewafunga pingu mikono na miguu, na masikio yenu yaliyojaa nta mmeyaziba kwa pamba, je hizo agenda za uchumi za CHADEMA mtazisikiaje?
 
Nilichokisoma hapa CHADEMA wanajiona sahihi kuliko Zito ila hii ni chuki mliyojazwa tu kiukweli hata Mimi siwezi kutetea watu waliotaka kunipa sumu
 
Siasa za matukio Zitto anapotea na CHADEMA vile vile mnapotea big time hamnaga ajenda nyie.....hasa za kiuchumi.

Sasa hivi mpo kwenye katiba mara free Mbowe...
Usipoitaja CHADEMA huwa unawashwa.
 
Zitto tokea atoke kwenye ile Ziara ya Somaliland yupo kimya sana sijui ni nini kilichomsibu.
Huyu dogo ni mnafiki kwa kiwango cha kimataifa.

Subirini mda sii mrefu mtapata habari zake.

Ataanza kumsifu Mama na atapata uteuzi.
Wait and see
 
Alikuwa anamsumbua Magufuli huyu....
Magu kaondoka hana hoja....
muflisi.....
siasa za matukio hudumu kwa muda mfupi
CDM mjipange
CDM inahusikaje apo sasa bila kuitaja hamsikii raha ehπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilichokisoma hapa CHADEMA wanajiona sahihi kuliko Zito ila hii ni chuki mliyojazwa tu kiukweli hata Mimi siwezi kutetea watu waliotaka kunipa sumu
Nchi hii siku hizi wajanja wanatengeneza misukule kwaajili ya kuwatetea na kuyapiga pesa.

Kosa la Zitto ni kukosana na mbowe na kubaki relevant kwenye siasa, ndio maana wakielewana hii misukule yote inakaa kimya. Wote waliokosana na Mbowe kina Kafulila, Said Arfi, Kitila Mkumbo, chacha Wangwe huwa wanapotea kwenye game, ukionekana unakaza unakaribisha vita isiyo na mwisho na misukule.

Zitto ana chama chake lakini misukule ya mbowe huwa inamshurutisha na kumtisha aunge mkono agenda na harakati za CDM.

In short misukule ya mbowe haina tofauti na ile ya Gwajima.
 
Huyu mvuta bangi si wapo pamoja na Zitto CCM?
 
Ni ujinga tu mda mwingine inabidi tuwakubali wale tunaotifautiana nao mawazo na si kuwafanya maadaui zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…