Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ni mtu wa maslahi snI am not an Afande Sele fan. Not one bit.
Lakini, kuna vikao fulani nilikaa na Zitto awali mwakanhuu nika detect kama ana protectionism kwa huyu rais mpya.
Nikafikiri labda ni katika falsafa nzima ya "give her some time" tu.
Lakini kadiri muda unavyoenda simsikii Zitto.
Amekuwa compromised na mfumo?
Anaji compromise mwenyewe kwa kutaka ukaribu na serikali?
Anasema hatujasikia tu?
alimsumbua sana hata DJ mbowe, na anajua siri zake nyingi, ndio maana hata hamtetei kwenye ugaidi. anajua ni kweli.Alikuwa anamsumbua Magufuli huyu....
Magu kaondoka hana hoja....
muflisi.....
siasa za matukio hudumu kwa muda mfupi
CDM mjipange
Ni ujinga tu mda mwingine inabidi tuwakubali wale tunaotifautiana nao mawazo na si kuwafanya maadaui zetu
Kutofuatiliwa kwa kiongozi yeyote wa siasa hakufanyi kufuatiliwa kiongozi mwingine wa siasa kuwa ajabu.Mbona wa vyama vingine kama Chauma, TLP,Tadea, UDP hawafuatiliwi kiasi hiki?