Afande Sele kuchukua kadi ya CHADEMA leo

SWAZ

Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
64
Reaction score
24
Afande Sele The'King wrote:

Hakuna kusanda,hakuna kumbwanda,mbele kwa mbele makamanda,vua gamba vaa gwanda kisha kaza mkanda, wanashuka sisi tunapandaaa,,,,Leo tunaanza kuandika hisyoria mpya ktk mkoa wetu wa morogoro na tz kwa ujumla kwa sababu nikiwa kama msanii wa muda mrefu na mfalme pekee wa mzk wa kizazi kipya ninaetunga nyimbo zangu kwa kuzingatia ujumbe muhimu ktk jamii kwa mambo ya kisiasa,kiuchumi,elimu,amani na upendo nk,sasa leo nimeamua kwa ridhaa yangu iliyosukumwa na uzalendo na mapenz makubwa kwa taifa langu kuchukua kadi ya kujiunga rasmi uanachama wa CHADEMA,tukio hilo kubwa litafanyika leo jioni ktk mkutano wa hadhara utakaofanyika kata yetu ya mafiga/misufini na utahudhuriwa na viongoz mbalimbali wa chama kutoka makao makuu ya chama dsm pamoja na mbunge wa nyamagana mh ezekiel wenje,kwa wakaz wa moro wazalendo nyote mnakaribishwa saaana,ahsanteni wana'ndugu,siasa si uadui,tupingane/tusipigane,Pendo moja!,,,,
 
Afande Sele, sawa kabisa! Hujakosea njia ya kuzunguka keep left!
 
Lakini aache tabia yake ya kuvua suruali,pia aache tabia yakeya kuvuta sigara kali.
 
Ivi sinilionagaa habari zake sijui wapi baada ya ngwear kufaa akahojiwaa akawa anajibuu yeye alikua anamapenf'dekezoo eti bangee ihalalishwee kaah sasa na alivyoo rafuu ivoo namijarastaa yake kilaa time yupostimuu,itakuwajee?
 
Mimi nilijua kadi kachukua kitamboooo, tangu aanze harakati za kutangaza kutaka ubunge...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…