Kujipendekeza nacho kipaji
Soon nae ataongezwa kwenye list
#Tamasha la zilipendwa#
Old is gold wewe tafuta la kwako shameless on youKujipendekeza nacho kipaji
Soon nae ataongezwa kwenye list
#Tamasha la zilipendwa#
Mkuu hakukua na umuhim wa icho kizungu apo juuOld is gold wewe tafuta la kwako shameless on you
Kizazi kisicho fikirisha ubongo huamini na kufuata kila kinachosemwa na wanaowaamini na kuwapenda pasipo kutathimini wanachowaambia,Bora huyu jamaa anajielewa siyo yule jamaa mwenye chunus nyingi uson ambaye kwao ni mwanza mwanza anayesumbuliwa na njaa
"Kwenye zama za ukimwi, Kwenye Nchi Maskini
Ya pili kutoka Chini,Afande Nashangaa Hata Mungu Anakataa
Kwa Wasanii wa Nchi hii,Kuimba Ngono Kila Saa Twashangaa!!
Afande alikuwa wa zamani bhana sio huyu wa leo bangi zinamuharibu.
Ndio ni mfano bora wakuigwa sababu anaitetea sanaa kuliko hata hao serikaliNdio maana huwa sisikilizi huu muziki wa kibongo maana umetawaliwa na majuha. Kama mtu anaimba vitu visivyoeleweka "nyege nyege" na bado anachukuliwa kama mfano wa kuwa bora, nafikiri vijana wetu (kina domo) wanasafari ndefu sana kufikia level za kina Kygo.
Kizungu chenyewe kakoseaOld is gold wewe tafuta la kwako shameless on you
Mkuu hakukua na umuhim wa icho kizungu apo juu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hakukua na umuhim wa icho kizungu apo juu