Afande Sele: Mama Kanumba hana sifa ya kuwa mzazi,anafurahia Lulu kufungwa kwa ajili ya ubazazi wa mtoto wake

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
Kumbe bangi ni mboga kwa wengine ni dawa ya degedege. [emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️mie napita zatu
 
Acheni kuhukumu asee, Uchungu wa mwana aujuae ni mama tu Wengine mnaongea tu mihemko ivi unajua kuwa huyo mama kwamba kanumba alikuwa ndio mboni yake na kila kitu leo apoforewe mboni yake aendelee kufurahia? Tuheshimu hisia za mzazi huyu mama tangu ampoteze kijana wake amepitia mengi ya kuumiza mpaka bifu na huyo Lulu, Mimi nampa pole Lulu ila pia naheshimu sana hisia za mfikwa mama kanumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…