ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,335
Hivi sasa ni mwenyekiti wa chadema kata moja huko morogoro mjini, Atagombea ubunge jimbo la morogoro mjini. Pamoja vituko alivyonavyo ikiwa ni pamoja na kuvua nguo jukwaani lakini ameendelea kuwa na mvuto kwa jamii. Tumuunge mkono apate ubunge..naipongeza chadema kwa kujipenyeza kwa wasanii makini kama huyu. Alikuwa sugu sasa afande sele...Na bado..