Afande Sele: Msanii mwenye mvuto kwa jamii kisiasa

ifweero

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
7,957
Reaction score
1,335
Hivi sasa ni mwenyekiti wa chadema kata moja huko morogoro mjini, Atagombea ubunge jimbo la morogoro mjini. Pamoja vituko alivyonavyo ikiwa ni pamoja na kuvua nguo jukwaani lakini ameendelea kuwa na mvuto kwa jamii. Tumuunge mkono apate ubunge..naipongeza chadema kwa kujipenyeza kwa wasanii makini kama huyu. Alikuwa sugu sasa afande sele...Na bado..
 

Attachments

  • image.jpg
    20.3 KB · Views: 450
Ulishazisikia nyimbo za Sugu za matusi ya nguoni?

Huyo Lema ndo anafanya hadi yale ambayo ni chukizo kabisa mbele za Mungu.
Hapana mkuu...sizijui nyimbo za matusi za sugu labda kwa faida ya jukwaa unisaidie lau heading ya mmoja...ila ya lema nayajua
 
Siku mojamoja huwa nafurahi kuzaliwa Tanzania cause wenye vipaji waking'ang'ania kuishi kwa kutegemea vipaji vyao hufa maskini,walimu wanao waandaa wasomi wa nchi hii wanaishi kimagumashi,wanasiasa wameshawageuza wataalamu wa fani mbalimbali kuwa watumwa wao na ili utoke we Kimbilia kwenye SIASA NA DINI lazima utamake tu.
 
Kuna wimbo wake mpya katoa na msanii mwingine sijamfahamu vizuri ni mkali sana.
Aliyeshirikishwa anaimba kuwa anataka kumuoa Tunda mwanae Afande Sele. Afande Sele anakubali ila siyo kwasasa maana Tunda bado anasoma na hajatimiza bado ndoto zake kimasomo.
Bonge ya wimbo kuna vina hapo mpaka raha.
Mwenye nao auweke hapa wadau.
 
Hapana mkuu...sizijui nyimbo za matusi za sugu labda kwa faida ya jukwaa unisaidie lau heading ya mmoja...ila ya lema nayajua

Anaziita Antivirus Mixtape. Zina matusi ambayo hayaandikiki hapa.

Matusi ya vijana wa BAVICHA hapa Jukwaani hayajaja from nowhere, yana historia ndefu.
 
Anaziita Antivirus Mixtape. Zina matusi ambayo hayaandikiki hapa.

Matusi ya vijana wa BAVICHA hapa Jukwaani hayajaja from nowhere, yana historia ndefu.

Kwakweli huyu Afande Sele hafai kabisa kuwa mbunge
 

Mkuu utafute wewe utuweke wengine ndio tunausikia kwako!
 
Afande lazima atazingua tu uko chadema, hajawai kuishi vizuri na mtu.

Kwa hali hii lazima atakuja kuvua nguo kwenye mkutano mizuka ikimpanda
 

Attachments

  • 1413266625505.jpg
    22.8 KB · Views: 99
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…