Mungu yupi? Kama Mungu amefikia hatua ya kuwalinda wapuuzi kama hawa sina neno tenaMungu atamlinda tu....
Nilikua namchokoza kiranga mkuu...Mungu yupi? Kama Mungu amefikia hatua ya kuwalinda wapuuzi kama hawa sina neno tena
Labda ilikuwa ni sehemu ya kipande cha kuweka kwenye mziki wake! alikosea kumtwanga mwenzieAlivunja protocol, badala ya kuvutia bangi nje anavutia studio
Alivunja protocol, badala ya kuvutia bangi nje anavutia studio
dah sasa cjui hao wanawake wote baada ya hii interview wanafanya maamuz gan
huyo ndio simba bwana,na angefanikiwa kwenda mjengoni yule dada pale bungen nadhani naye angekuwa wa saba
Tumsifu yesu kristu!!