Afande Sele,O-Ten na Stamina wawapiga bao wana kigoma!

Afande Sele,O-Ten na Stamina wawapiga bao wana kigoma!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Wameachia wimbo mkali unaitwa Morogoro,hii imetokana na wimbo walioutoa wana kigoma na wao wakaamua kuwapiga bao!! Big up Morogoro allstars!
 
Wamara tunaandaa Songi letu, kiitikio ataimba Isha Mashauzi.
Chezea Mara weye!
 
Wamara tunaandaa Songi letu, kiitikio ataimba Isha Mashauzi.
Chezea Mara weye!

Dah! Wazee wa kungecha na Isha Mashauzi, hilo kolabo sio la kitoto! Unamkuta chacha ana panga na kidole juu!!! He he heeeeee!
 
wakati myie mkiongelea ukabila na udini kuzidi kuwatafuna, wachaga wao wanawaza pesa na biashara mpya. hakunaga akina saida kaloli uchagani wala wanaofokafoka ila kunawafugaji na nguli wa biashara..go go chaga pipo
 
Temba, akina joh makina, gnacko, lordeyes, akina chindo akina machalii, wao kabila gani ebu tuambie
 
Temba, akina joh makina, gnacko, lordeyes, akina chindo akina machalii, wao kabila gani ebu tuambie

hivi hamna hata mmoja wa taarabu aithee baba angu! tatizo mchaga hana mda wa kugombania mabwana. wote wapo njia panda ya HIMO.
 
Kikwete katuletea Udini sasa Zitto Kabwe naye ameamuwa kuasisi ukabila!! haya tuendelee tu.

na nyinyi wachaga mbona mnatamba kwenye matangazo! tuacheni wana kigoma tutambe kwenye muziki!
 
Sina muda wa kurumbana na mvaa vipedo a.k.a Wahabi. subilini matokeo ya form four muandamane maana mwaka huu ndio mtafeli kweli kweli.

usipaniki mzee kwani kwa padri kuhamasisha shughuli za kanisa kuna kosa gani? hiyo ndio kazi aliyoisomea huko kwingine anasuasua tuu
 
Back
Top Bottom